Wednesday, October 17, 2012

KUMBE HUJUI?? DOKTA MTARAJIWA FRATELINE KASHAGA WEDS MH. MARIA @ GRANDE HALL, PICOLO HOTEL

Furaha halisi banaa, asikwambie mtu, ni pale Umpate akutulizaye jakaya la moyo wako! Heheheiyaaa...Burudiko la moyo wa Daktari Mtarajiwa Frateline Kashaga lilitimia baada ya kumpata wake wa Huba na Ubani, rafiki yake kipenzi na Sweetyto wa ukweli, Mheshimiwa Hakimu Maria Kashaga. Walisogelea madhabahu pale Roman Catholics na kutamka maneno yaleee ya kawaida lakini yenye uzito wa kuishi nayo; FOR BERAA FOR WORSE...vigelegele na nderemo vikafuatia kwa haja hapo. Nyimbo za kihaya na kihehe zikarindima! wenye vijiba vya roho vichwa chini! The couple, rasmi; MR & MRS FRATELINE KASHAGA! 
Uhondo haukuishia hapo. Safari ya furaha hiyo ikaanza na kuelekea ukumbi maarufu jijini Dar es Salaam, pembezoni mwa Bahari ya Hindi unaitwa The Grande Hall at Picolo Beach Hotel. Hapo kikundi cha ngoma ya asili ya kihaya na vijana wa Jerusalem Vibrant Brothers (JVB) almaarufu kama Zunguka Boyz wakaleta burudani ya haja wakishirikiana kwa ukariibu na Dj Makini. Muzee ya Mushike mushike; McNdimbo akiunganisha mabo kwa ustadi mkubwa-kama kawaida!! Hapo ni bandika-bandua!

Songa nasi hapa kwa uchache.

Colours; Hot Pink na Silver.

Bw Frateline na Mkewe Bi Maria Kashaga wakiwa na Wapambe wao: Bw Felix na Mkewe Isaria.


Wazazi wakiingia

Ze Decor

Ze Keki

Maids na Groom's men waliingia kila mtu na pair yake na wimbo wao; walikua pairs nne

Wapambe wakiingia

Maharusi wakiingia

Pouz
Groom's men; Kutoka Kulia, Bw Mwombeki (bwana harusi Mtarajiwa) na Misambwa na wenzao

Maids

Raha eeh?

Harusi ni Furaha banaaa

Sala

Mheshimiwa Mwenyekiti 'Mkapa' akiwakaribisha wageni

Mpambaji: Mama Yoyooo akifungua champagne kwa manjonjo

Pongezi


Maids katika postures

Kwaito

Mudau ya Duce; Bw Kalumuna Mkewe


Bwana harusi akitambulisha


Kilaaaji

Wow!

Mshikemshike


Bi harusi akitambulisha

kihehe icho banaa

Bwana harusi akitupa za Chihaya


Miss Tia, Binti wa Profesa wake na Bw Harusi katika PhD yake akiwakilisha

Bi harusi akitupa za Chihaya naye
Keki tym

Nilishe nikulishe.....

Asante wakwe zangu

Asante wakwe zangu

Aaah...Shemejiiiii


Maharusi wakitembelea wageni

Wengine waka wanawapiga mapichaz


Kama hivi eee

Wow! Wasimamizi...kaa mapacha vilee

The Jerusalem Vibrant Brothers; Kama kawaidaNa tukinogewa, tunawatunza

Mshikemshike

Maharusi wakiwatambulisha marafiki zao; Central Club

Zawadi kwa wazaziZe Kamati


Mdau akimsikiliza Mwenyekiti kwa poooz
Hapo Je?

Asante sana wanakamati

Ze twist


Sisi ndo Sisiiii....

Central Club

'Mkapa' na vionjo..

Wana wa Department apo DUCE Development Studies na wadau wengine


Miss Tia akitoa salam kutoka kwa Baba yake

Shemejiiiii

..Within my heart, there is nobody else....Baby give me your hand..Let me take you away..
..And after all the things I have been through...I present my love to you...My Beautiful Onyinye..

wow...What a wedding that was!

1 comment:

Anonymous said...

I will bookmark your blog and have my kids check up here frequently. I'm very certain they will understand lots of new stuff here than anybody else.