Sunday, August 19, 2012

McNdimbo Entertainments Tunawatakia Eid Njema


Tusherehekee Eid Vizuri kwa amani na utulivu, upendo na kupendana. Watoto warudi nyumbani mapema na wale wanaopenda kwenda beaches, basi wawe na utaratibu makini wa usafiri.

No comments: