Wednesday, September 19, 2012

Men's Mitoko Harusini....Pendeza Banaaaa

Mara nyingi mtu akisema kupendeza kwa harusi, cha kwanza wengi humfikiria Bi Harusi na sana saaanaaa Maids. Lakini ukweli ni kwamba, harusi yapendezeshwa na kupendeza kwa watu wengi, wakiwamo wanaume katika shughuli nzima hapo. Kuanzia kwa Bwana harusi na Bestman hadi kwa groom's men na wageni waalikwa; wanaume. Leo nakuletea vionjo vya mitoko ya kiume! Hapa mitoko iliyo bora ya suti za ukweli. Wapiga suti nyeusi, nyeupe, silva na rangi zooote unazozijua. Halafu kwa kimtindo safi, watupia na kitu cha rangi ya harusi hapo. Wengi hutupia tai kubwa, neck tie au wapiga na kizibao na ile kitambaa kidogo kwa mfuko wa suti. Yaani hapo watokelezeiya mbayaaa na unakua umeuvaa uhusika haswaa wa harusi husika. Tiririka hapa na uhondo wa picha kwa msaada wa Kerry's Wedding Fash...
No comments: