Wednesday, September 12, 2012

FURAHA NDO HII BANAAA:WEDDING..BW YOHANA NA BI WINIFRIDA MUSHI!! SONGESHAAAA

Ilikua shangwe na vigelegele vilisikika kila kona ya jiji, pale Bw Yohana Mushi alipopata jiko lake rasmi Bi Winifrida Mwita katika kanisa la RC-Tabata na kufuatiwa na sherehe ya kukata na shoka pale Highland Pub-Tabata, Baracuda D'salaam. Burudani safi na muziki wa haja ikisimamiwa na anko wangu katika kazi, McChitanda. Kwa kweli hii ilikua ni mwanzo mzuri wa maisha ya ndoa takatifu kwa maharusi wa siku hiyo. Tiririka nasi hapa, upate uhondo wa picha.

Colours: Blue na Silver

Bw Yohana Mushi na mkewe Bi Winifrida wakiwa na furaha hapo
Sisi ndo Sisi!!

In my arms, you will always stay!

Taabasaam!

Bi Ritha Fred...tokelezeiya!

Kata Keeki Tuuuleee

Nilishe nikulishe...ndio ishara ya upendooo!!

Na Wazazi Je?

Nitakupenda Daima!

Na Wapambe wao..

Baba wa Bw Harusi; Mzee Mushi akitoa nasaha

Tuleeeee...hakibaki kitu hapa

Hapo Je?

Mchagga halisi na ndafu banaaaa...

Naaani kama mamaaaa!


Mie na weee aunt!

Maisha bila weeewe ni kama samaki nje ya maji!
Kitu cha silver!

Lete champaigne tunywe sasa..

Cheeeers!


Na Rangi ya harusi ee...

Ze Kamati!

Tumefika mwisho wa shuuli yetu...kwaherini!!

1 comment:

Anonymous said...

m very happy to see your article. Thanks so much and i am taking a look forward to contact you. Will you kindly drop me a mail?