Tuesday, October 23, 2012

AT CCC Hall; MAUREEN JIMMY IS SENT OFF!! ZAMAAA

Kukiwa na kila dalili ya uwepo wa Ukristo haswaaa apo Christian Centre, just opposite na Mzumbe University (D'salaam Campus), Binti mrembo wa kupendeza akiwa amewaka kwa rangi ya Blu na nyeupe chafu, Maureen Jimmy alikua akiagwa. Meza zimesambazwa kitu cha kokaaz, fantaaz, azam Juices za kumwaga, maji ya kunywa na vinywaji pombe-less, mambo ni Kiatu! Utam wa Yesu! Mpango wa Mungu! Ebenezer! yaani ni full Uwepo!! Upako haswaaa.... Wanachi bila ya kujivunga, wakawa wanapata burudaaani ya haja. Wakifurahi na mchombezo wa wenyeji wa Kisambaaa na Wakurya. Hulahlaaah... Kwa pembeni hapo wakawepo staff wenzie na Bi Harusi Mtarajiwa kutoka Airtell...shuuli nzima ikawa ni kuhamia tu! 
Dj Smol akiwa nyuma ya mashine ya haja na kuongoza mshikemshike kwa ustadi mkubwa!! 

Songa nasi japo kwa uchache ushuhudie uhondo apo...

Colour; Blue na Nyeupe Chafu

Mjikeki


Decor's

Seating plan

Mshikemshike


Sambaa bila tarumbeta!

Wakwe apo wakipiga za kikurya

Wapiga picha na wale wa sim zao!

Mamaa Maureen (kushoto apo)

Karibuni

Kitu cha sala apo

Mapeeeema, Mwenyekiti akitambulishaga na wanakamatiz!Na zawadi zao kabisaaaa


Kata keeki tuulee

Thank you maaamHapoooo

Mama Mzaa Chema, Mama Jimmy akiwa na nduguze

Kijana Ndaganza, the Ex-St. Anthony's Boy! akiwakilisha

Wakwe

Kumbe kaka akawepo!! McMambya akitambulisha wakwe

Full Upako apo!! Acha kabisa

Nasaha na burudani apo

Mama Keki (Mama Ndaganza apo katikati) na Mama Chutto, Mkwe wa McNdimbo!! (kushoto apo) walikuwapo

Neno

Hamia Airtel!! Ze Staffs

Mama Mzaa Chema, Mama Jimmy

What a family!!

Mshenga, McMambya, akiteta na Shangazi apo


Maambo Sawa sawaaaaa!


What a Night that was!


2 comments:

Anonymous said...

I just added your web page to my bookmarks. I enjoy reading your posts. Thank you!

Anonymous said...

I heard a couple of guys talking about this in the New York subway so I looked it up online and found your page. Thanks. I thought I was right and you confirmed my thoughts. Thanks for the work you've put into this. I'd love to save this and share with my friends.