Monday, November 12, 2012

Hillarious Moment!! Livingstone Wamara weds Levina Michael @ Carnival, D'salaam.

" Dereva babili, dereva babili, dereva babiliiii eee...!" halafu "...kubyaala, mayo! Kubyaala Cha widzaaaa..." hahahaahaaaa.. Yaani ni rrrrhaaa. Asikwambie mtu bwana. Kuoa, tena kutokea kwa umpendaye! Kutimiza ndoto za kuishi wawili! Ni raha sanaa.
Haya yalijidhihirisha pale kijana mtanashati wa haja Bw. Livingstone Wamara alipofunga pingu za maisha na mrembo wake Bi Levina Michael Shija pale KKKT-Mbagala Zakheam. Furaha ya wanyambo hao kutoka Nyarwele, Karagwe na wasukuma hao kutoka pale Ndala-Shinyanga haikuishia hapo kwa kanisa. Burudaani na tabasabu za kutosha zikasongeshwa mpaka ndani ya Viwanja Vya Kumbukumbu ya Mwalimu JK Nyerere, jijini D'salaam katika ukumbi maarufu wa Carnival 2.Hapo ilikua ni kula na kunywa, kucheza na kuburudika tu.
Muziki safi usioumiza masikio, chini ya Dj Ommy na sauti ya kibiashara zaidi kutoka kwa Mdau a.k.a The Blogger! hulaahlaah! Hapa Kinyambo, pale kisukuma, hapa kwaito, pale mambo ya sebene, huku taarabu, pale mchiriku...weeeee! Wataka nini tena.
Kwa uchache hapa, songa nasi.

Colours; Carrot & Black

Bw Livingstone na Mkewe Bi Levina na wasimamizi wao


Decor's

Dj Ommy

Mjikeki

Wazazi

Ze Chihaya

Wakwe karibuni huku

Kisukuma hapo

Ze Totoz

Maids

Wow

Wasimamizi

Wenyewe sasa!!

Twende mrembo wangu

Kwa bashasha kabisa na mkaribiege

Tuombeeee

Mh Mwenyekiti, Bw Nelius Nehemiah akikaribisha wageni

Kunywa my girl

Na sie tunyweshanee au kila mtu kivyake?

hii keki kata hapooo
Tuikaaaate

Kama ndege ee

Kwa wazazi

Thanks wakwe

Thank you

Asante Mwenyekiti na wanakamati

Thank you wasimamizi


Sisi ndo sisi!

Profesa Rugemarila na mkewe pia walikuwapo

Mshikemshike

Niwatambulishe wa kiumeni apa sasa...

mke wangu lazima uwe wa kwanza; simama

Wazazi
Nami nawatambulisha sasa

Na tuchezage kabisaaa za kisukuma..

Hapo jeee

Ze Kwaitooz

Nasaaha

Leta burudaaaani

Zawadi tym...tunazifata kuure chijijini kabisa

zawadi; ikaanzu

Wageni

Le French.... Bw Cosmas na Muzee ya Thesis!!Tupumzikege mwe!

Wazazi

Mwenyekiti akitoa shukrani na kuhitimisha mambo

Ze twist sasa
Tchaaao!

1 comment:

Anonymous said...

This is very interesting, You are a very skilled blogger.
I've joined your feed and look forward to seeking more of your fantastic post. Also, I have shared your web site in my social networks!
Feel free to surf my web page ; vacuum cleaners