Monday, May 6, 2013

Mwika Social Hall; Furaha Mwambola weds Getrude Mbiduka.....

"...foreveever...foreever...i like it, i like it, i really really like it...oooh...oooh..."

Kugeuka namna hii, ikawa inaingia couple ilopendeeza na mdundo wa Forever kutoka kwa P Square; bw Furaha Mwambola na Bi Getrude Mbiduka wakiwa rasmi Mr and Mrs Furaha na furaha zao za ukweli.

Kengele za ushindi wa maisha halisi ya ndoa takatifu zilisikika pale Kanisa la KKKT, Kijitonyama na kusindikizwa na nderemo na vifijo vya wanyakyusa na wahehe wale. Taratiiibu wakajongea ndani ya Ukumbi maarufu wa Mwika pale Sinza, Makaburini.

Ilikua burudani kama kawaida; Dj smol akianza na gospelz, kabilaz, akirudi na zama za kale na kuja na shamukwale na mwisho akimalizia na uhondo wa kibongo kama ileeeeee "Kibeeela"
Mdau wenu, kazi ni kukamilisha mwongozo wetu wa mwaka huu YOUR SATISFACTION IS OUR ACHIEVEMENT

songa nasi kwa picha

Colors: Purple, Yellow na Silver
No comments: