Sunday, December 23, 2012

MERRY CHRISTMAS MY DEAR VIEWERS...

TANGU TULIPOANZA RASMI MWEZI MAY MWISHONI, MWAKA HUU NA WIKI YA KWANZA YA MWEZI JUNE, MMEKUA MNATUPA SUPPORT YA KUTOSHA. ASANTENI SANA KWA KUWAFIKISHIA HABARI WENGINE AMBAO HAWAKUJUA KWAMBA UNAWEZA KUPATA YANAYOJIRI KATIKA UKANDA WA WEDDING NA VURUGU ZAKE KUPITIA HUMU. TUENDELEE KUWA PAMOJA KATIKA NYAKATI ZOE. TUNA-VALUE SANA MAWAZO YENU NA NI MAWAZO YENU YAMEIBORESHA HII BLOG MPAKA HAPA ILIVYO. MSICHOKE KUTUSAHISHA NA KUREKEBISHA YALIYOMO. KWA UWEZO TULIONAO NA MA-TECHNICIAN WETU, TUTATENDA.

TUNAWATAKIA MSIMU MZURI WA SIKU KUU YA CHRISTMAS!!


No comments: