Ilikua ni siku maalumu yenye raha na bashasha pale ambapo wanataaluma wa Idara ya Lugha za Kigeni na Isimu ya UDSM walipojumuika na familia zao katika Viwanja vya Michezo na Bwawa la kuogelea apo UDSM ili kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha rasmi mwaka 2013 na zaidi ya yote kumuaga rasmi Dr Ndoloi aliyekua Mkuu wa Idara hiyo kwa vipindi tofauti na ambaye anakaribia kustaafu.
Uhondo huo ulianzishwa na michezo mbalimabali ikiwapo kukimbia kwa magunia, kukimbia kwa miguu mitatu ( watu wawili wakiwa na miguu yao miwili imefungwa kwa pamoja), futbol, kiduku, vimbwanga na vituko. Ilikua ni siku nzuri na ya furaha haswaaaaa.
Burudani ya muziki ikaletwa na The KAREBENS ENTERTAINMENT chini ya McNdimbo wakiwa kwa kariiiibu kabisa na wazee wa STIVANGIE ENTERTAINMENT. hapo ilikua ni balaaaaa....
Songa nasi apa kwa dondoo za picha
|
Dr Ndoloi akikagua timu za Futbol; Bantu FC vs Discourse Analysis SC |
|
Dr Rose Upor, Mkuu wa Idara ya Lugha na Isimu (UDSM) akimtambulisha mgeni rasmi kwa wanandinga. |
|
Mdau; Mc a.k.a Ze Blogger |
|
Dj! |
|
Mwana wa Head wa Idara akitengeneza clips kwa iPad |
|
Mdau akitangaza mpira live! |
|
Eneo la tukio |
|
Sack race! |
|
Kutoka kulia: Dr Mreta, Prof Rugemalira, Mama Rugemalira, na Dr Kibogoya |
|
Dr Upor, Mkuu wa Idara akiwa na familia yake |
|
Dr Shartiely akiwa na familia yake |
|
Bwana na Bi arusi, wapya wapya!! Mwombeki 'Drogba"s!! |
|
Dr Mapunda na familia yake |
|
Kutoka kushoto; Mjasiriamali Bw Asheri, Binti wa Dr Ndoloi, Dr Ndoloi, Dr Msuya, Bw Taji na familia |
|
Doroth a.k.a Kipa Barthez na wadau |
|
Prof Saida (mwenye nywele za dhahabu safi) akiwa na familia yake |
|
Ze Mudau |
|
Prof Saida Othman akisoma Utenzi juu ya Dr Ndoloi |
|
Mdau na meza ya wazito! |
|
Dr Rose Upor akitoa neno la shukurani kwa wanaidara |
|
Dr Ndoloi akiwa na binti yake kipenzi, mara baada ya Dokta kukabidhiwa Cerificate of Appreciation na wanaidara |
|
Akapewa na zawadsi ya vinyago kukumbuka uchapa kazi wake na maandalizi ya kustaafu. |
|
Zawadi time; Dr Mapunda kwa kukimbia vizuri |
|
Prof Saida akarudi utam wa utenzi |
|
Bw Faraja akatakiwa kucheza kiduku!! hahahahaaaa...mambo ya Pik From da Box |
|
Dr Ndoloi akaonesha ufundi wake wa kucheza twist!! |
|
Dr Muzale a.k.a Mzee wa LoT, akaonesha ufundi wa kukariri ushairi wa moja ya vitabu vyake |
|
Pik From the Box ikaangukia kwa familia ya Dr Upor, wanae apo wakaonesha ujuzi wa kucheza Azonto! |
|
Raaaaaha! |
|
Dr Upor na mumewe wakilisakata rhumba apo |
|
Dr Muzale na familia |
|
Bw Faraja akaibiaibia kwa mke wa Dr Shartiely |
|
The Executive Summary |
1 comment:
Wow!!! seems was so fun
Post a Comment