Tuesday, February 5, 2013

Family Day; Idara ya Lugha za Kigeni na Isimu ya Chuo Kikuu cha Dar esSalaam

Ilikua ni siku maalumu yenye raha na bashasha pale ambapo wanataaluma wa Idara ya Lugha za Kigeni na Isimu ya UDSM walipojumuika na familia zao katika Viwanja vya Michezo na Bwawa la kuogelea apo UDSM ili kuuaga mwaka 2012 na kuukaribisha rasmi mwaka 2013 na zaidi ya yote kumuaga rasmi Dr Ndoloi aliyekua Mkuu wa Idara hiyo kwa vipindi tofauti na ambaye anakaribia kustaafu.

Uhondo huo ulianzishwa na michezo mbalimabali ikiwapo kukimbia kwa magunia, kukimbia kwa miguu mitatu ( watu wawili wakiwa na miguu yao miwili imefungwa kwa pamoja), futbol, kiduku, vimbwanga na vituko. Ilikua ni siku nzuri na ya furaha haswaaaaa.

Burudani ya muziki ikaletwa na The KAREBENS ENTERTAINMENT chini ya McNdimbo wakiwa kwa kariiiibu kabisa na wazee wa STIVANGIE ENTERTAINMENT. hapo ilikua ni balaaaaa....

Songa nasi apa kwa dondoo za picha



Dr Ndoloi akikagua timu za Futbol; Bantu FC vs Discourse Analysis SC


Dr Rose Upor, Mkuu wa Idara ya Lugha na Isimu (UDSM) akimtambulisha mgeni rasmi kwa wanandinga.


Mdau; Mc a.k.a Ze Blogger


Dj!


Mwana wa Head wa Idara akitengeneza clips kwa iPad


Mdau akitangaza mpira live!




Eneo la tukio


Sack race!


Kutoka kulia: Dr Mreta, Prof Rugemalira, Mama Rugemalira, na Dr Kibogoya


Dr Upor, Mkuu wa Idara akiwa na familia yake


Dr Shartiely akiwa na familia yake


Bwana na Bi arusi, wapya wapya!! Mwombeki 'Drogba"s!!


Dr Mapunda na familia yake


Kutoka kushoto; Mjasiriamali Bw Asheri, Binti wa Dr Ndoloi, Dr Ndoloi, Dr Msuya, Bw Taji na familia


Doroth a.k.a Kipa Barthez na wadau


Prof Saida (mwenye nywele za dhahabu safi) akiwa na familia yake


Ze Mudau


Prof Saida Othman akisoma Utenzi juu ya Dr Ndoloi




Mdau na meza ya wazito!


Dr Rose Upor akitoa neno la shukurani kwa wanaidara






Dr Ndoloi akiwa na binti yake kipenzi, mara baada ya Dokta kukabidhiwa Cerificate of Appreciation na wanaidara




Akapewa na zawadsi ya vinyago kukumbuka uchapa kazi wake na maandalizi ya kustaafu.


Zawadi time; Dr Mapunda kwa kukimbia vizuri






Prof Saida akarudi utam wa utenzi


Bw Faraja akatakiwa kucheza kiduku!! hahahahaaaa...mambo ya Pik From da Box




Dr Ndoloi akaonesha ufundi wake wa kucheza twist!!


Dr Muzale a.k.a Mzee wa LoT, akaonesha ufundi wa kukariri ushairi wa moja ya vitabu vyake


Pik From the Box ikaangukia kwa familia ya Dr Upor, wanae apo wakaonesha ujuzi wa kucheza Azonto!


Raaaaaha!


Dr Upor na mumewe wakilisakata rhumba apo


Dr Muzale na familia


Bw Faraja akaibiaibia kwa mke wa Dr Shartiely


The Executive Summary

1 comment:

ilonga said...

Wow!!! seems was so fun