Tuesday, March 5, 2013

WE ARE NOW 50,000!!

They say "..a journey of a thousand miles begins with a step..."
 
This is how we really started. But we have now turned to
50,000!!! THAK YOU SO MUCH WADAU
Number 50 Photo - Free Image of the Number Fifty
lilianza kama wazo na baadae likafanyiwa kazi na hatimaye likazaa kazi safi.
Nia na madhumuni ikiwa kuwahabarisha wadau ni kwa jinsi gani masuala mbalimbali ya harusi na sherehe na shamrashamra zake yapo kwa Tanzania na nje ya Tanzania.
Zaidi kuonesha kazi mbalimbali za Blogger wa Blog hii, McNdimbo katika maeneo mbalimbali.
 
Hakuna maneno mengi ya kusema zaidi ya kuwashukuru sana wadau wetu, wateje wetu na visitors kutoka kila kona ya Ulimwengu huu. Kwa namna ya pekee kabisa Namshukuru dada yangu na blogger wa 8020 Fashions, Bi Shamim Mwasha kwa nafasi yake ya pekee katika kuwezesha kuongezeka kwa wadau. Pia namshukuru dada Adella Kavishe wa Adela blog kwa kuwa sehemu muhimu ya kuwahabarisha wadau. Thank you so much. Mungu na awazidishie.
Tupeni sapoti yenu na tunaendelea kukaribisha maoni yenu yanayoifanya blog iendelee kusonga mbele.

Kwa sasa tunatoa offer ya matangazo kwa wale wadau wa harusi na sherehe; wapishi, wapambaji, wauzaji wa nguo, suti na viatu kwa muda wa kipindi hiki cha mwezi wa Pasaka hadi Mei 31, 2013. BURE KABISA

No comments: