Tuesday, May 7, 2013

WE ARE NOW 75,000!!

Ni jambo la kufurahisha na kujivunia kwa mashabiki, watembeleaji na wasomaji wa blogu yetu. Tumekua na wastani wa kutembelewa na watu wapatao 427 kwa siku na watu takribani 20 kwa kila saa. hii ni wastani wa wasomaji zaidi ya 12,000 kwa mwezi!! ASANTENI SANA WADAU KWA SAPOTI YENU.

Tunawaahidi kwa namna ya pekee kuendelea kuwaletea yale  yanayojiri kwa uzuri kabisa katika industry ya wedding hapa Tanzania. Tupeni changamoto za kutosha na sie tuboreshe uhondo huo. 

Wafanyabiashra wa wedding industry tunawakaribisha kwa moyo mkunjufu kuleta matangazo yenu hapa. tunatoa ofa ya kukuwekea matangazo yako BURE kwa miezi miwili na baadaye kulipa kwa gharama ndogo kila mwezi. KARIBUNI SANA.

tumejipanga kwa kufanya kazi zilizo bora kabisa mwaka huu katika anga la Mc na muziki, video na still pictures. KARIBUNI SANA

YOUR SATISFACTION IS OUR ACHIEVEMENT



Wenu Mdau: McNdimbo Reuben

Kwa niaba ya Crew nzima ya McNdimbo Entertainment

No comments: