Friday, September 13, 2013

150,000...ASANTENI SANA...THANK YOU SO MUCH!!

Kidogo kidogo lakini ndo tunasogea. Kwa uwezo wake Mola na tumefika 150,000.


Hatuna la kuwashukuru ila ni kuahidi kuendelea kuleta yanayojiri katika uwanja wa wedding na makandokando yake. Kwasasa tupo 150,000Kwa sasa wastani una karibia 1000 kwa siku. Hii inakuhakikishia mdau wa matangazo kuwa na watu hao wakishuhudia kazi zako kwa siku. Asanteni sana wadau kwa kutimia 150,000


Soon, Kutakuwa na Ukurasa wa Yaliyojiri Harusini Wiki Hii.....coming sooon

No comments: