Sunday, September 29, 2013

Gasto Mwakilasa Weds Ngajabule Mwasikili...

Wakiwa na nyuso zilizokolezwa na tabasamu la ukweli kabisa, Bw Gasto Mwakilasa na mkewe Ngajabule Mwasikili waliingia ndani ya Ukumbi mpya wa Mbuji hapo jijini Dar es salaam. Huku wakisindikizwa na Marafiki zao Bw Lumuli na mkewe Mpoki, maharusi hao walionesha kua ni marafiki walioshibana siku nyingi. Hapo walikua wanatokea KKKT Ubungo
 
Burudani ilikua ni ya hatariii, Dj Smol akiwa nyuma ya mashine na mdau akichombeza kwa ukaribu, wanyakyusa wale wote kutoka wilaya ya Rungwe, Mbeya walikua wamekunika ile hatari!! vitu vya Naloliiii...tummogeleee...ndaaga...eeena!! weee...gospoooz...bak-2-bak na misebene ya kukata na shoka na taarabuuz,,,basi weee.
 
WE REALLY AMAZED OUR CUSTOMERS!!
 
Songa nasi kwa picha hapa.
 
Colors: Purple na Baby Yellow
 
 
 
 
 
 
 1 comment:

Anonymous said...

waoooh! nimeona MC wetu unatishaaaaaaaaaaaaaaa.nimekukubali.
Mrs Mwakilasa.From Morogoro hiyoo