Harusi hii ilifanyika katika kanisa la AnglicanKawe, jijini Dar es salaam na baadaye ile Superb Reception ikafanyika pale Mbezi Beach katika ukumbi wa Twiga ndani ya viwanja vya SunSet Beach. Mambo yalikua muswaaano...Tiririka nasi apo..
|
Bw Borden na Mkewe Lulu wakionesha vyeti vyao vya ndoa |
|
McNdimbo (katikati kwa wenye suti) akiwa na Mdogo wa Bw arusi (Lau; Kulia) na rafiki wa Bw arusi (Bw Rwejuna; kushoto) |
|
Borden na mkewe Lulu |
|
Borden, mkewe na wasimamizi wao wa ndoa |
|
The Maids; kutoka kulia: Omega, Samuel, Frank, James, Patricia, Monica, Lilian na Helena |
|
Maids na maharusi |
|
Maids na Bi arusi |
|
Maids na Bi Lulu |
|
Maids na Bw Borden |
|
Maids na Maharusi |
|
Maharusi na wenye suti |
|
Borden na Lulu |
|
Maids na maharusi |
|
Maharusi wakiingia na mabomu ya maua yakilipuka!! |
|
Raha ya harusi bana..ujiachie asee |
|
|
McNdimbo akifungua champaigne |
|
Champaigne |
|
McNdimbo akigawa champaigne kwa maharusi |
|
Borden na Lulu |
|
Bw arusi akishukuru na kutambulisha |
|
Wasimamizi wa ndoa wakiingia kwa ukumbi |
1 comment:
Funika bovu....!!! mimi ndio nitakuja vunja hii historia
Post a Comment