Wednesday, June 6, 2012

Harusi Ya BOrden na Lulu

Harusi hii ilifanyika katika kanisa la AnglicanKawe, jijini Dar es salaam na baadaye ile Superb Reception ikafanyika pale Mbezi Beach katika ukumbi wa Twiga ndani ya viwanja vya SunSet Beach. Mambo yalikua muswaaano...Tiririka nasi apo..

Bw Borden na Mkewe Lulu wakionesha vyeti vyao vya ndoa
McNdimbo (katikati kwa wenye suti) akiwa na Mdogo wa Bw arusi (Lau; Kulia) na rafiki wa Bw arusi (Bw Rwejuna; kushoto)
Borden na mkewe Lulu


Borden, mkewe na wasimamizi wao wa ndoa

The Maids; kutoka kulia: Omega, Samuel, Frank, James, Patricia, Monica, Lilian na Helena

Maids na maharusi
Maids na Bi arusi

Maids na Bi Lulu

Maids na Bw Borden

Maids na Maharusi

Maharusi na wenye suti

Borden na Lulu
Maids na maharusi

Maharusi wakiingia na mabomu ya maua yakilipuka!!

Raha ya harusi bana..ujiachie asee

McNdimbo akifungua champaigne

Champaigne

McNdimbo akigawa champaigne kwa maharusi
Borden na Lulu

Bw arusi akishukuru na kutambulisha

Wasimamizi wa ndoa wakiingia kwa ukumbi


1 comment:

Basil said...

Funika bovu....!!! mimi ndio nitakuja vunja hii historia