BI Fedah Albert Kihoko |
Wakwe wakiingia ukumbini; Familia ya kina Kiula kutoka Iramba-Singida |
Send off banaaa...usisahau hii kitu |
Bw arusi Mtarajiwa,Kiula, (kulia) akiwa na mpambe wake |
Mamaa Fatma (kushoto) na Best yake |
GRM, kama kawaida wakiwa kazini...ni noumar!! |
Bi Fedah (kushoto) akijiachia wakati anaingia |
Wazazi wa Bi arusi Mtarajiwa, Fedah |
Wakwe watarajiwa wa Fedah; Kilula's Family |
Bi Fedah na Matron wake |
Mh Mwenyekit akikaribisha wageni |
Wadau wakiwakilisha |
Mr & Mrs Paschal Lugayana wakiwakilisha Green Acres Community |
Bi Rehema na Bi Elizabeth wakiwakilisha wadau wa Green Acres Schools |
Bi Fedah akitambulisha |
Wakwe wakicheza kinyiramba |
Binti kalelewa banaaa...anatoa keki kwa wakwe zake |
Asante wazazi!! |
AMETOKELEZEIYAAAA |
Feda akionja keki yake |
Hta mie nafunguaga champaigne baab!! |
'Nkuambie kitu? kampe na mumeo mtarajiwa io champaigne...' | Mc Makasi Jr |
Walezi |
Bi Feda akifungua champaigne mbele ya mumewe mtarajiwa. |
Mdau naye alialikwa.... |
Kama Mapacha eeeeh! Big Up KIULA na FEDAH! |
Bila KWAITO!! ah ah...haiwezekani asee! |
Taarabu imo umooo!! |
Mdau mwingine uyooo: Laurean Wajimila |
The former Green Acres community member |
Mc Makasi Jr na bendi yake ....burudaaaani! |
The handsome and the beautifu! |
Mambo ya msingi saaana! |
Mate yasikutoke tuuu!! |
Bi Vivian, Mdogo wa bi arusi uyoooo!! |
Kwa poooz; High Table |
toto Tundu huyuuuu....! |
1 comment:
ilikua pouwaaaa....bibi arusi kapendeeeza
Post a Comment