Raha ya kuishi ni kuishi tuuu....kula vizuri, lala vizuri na uishi kwa upendo na watu. Hizo ni baadhi tu ya sababu za kuishi miaka mingi. Paskal Mwaja, mtu wa watu huyu, aligota miaka 50 juu ya alama siku ya tarehe 13, April, 2013. Hakuona ajizi kwa nini asijumuike na ndugu, jamaa na marafiki apo BNN Restaurant ndani ya jengo lenye mvuto na lenye biashara za kimataifa, mbadala wa Mlimani City; Quality Centre!
Shughuli ikaanza rasmi siku ya ijumaa saa 12 jioni na kuendelea hadi saa 6.00 usiku, ambapo siku ya tarehe 13. april ilikua ikianza rasmi. Hapo mda huo, keki ikakatwa na kuchombwezwa na wimbo maarufu sana duniani wa kutakiana heri katika siku ya kuzaliwa; Happy Birthday To You...Happy Birthday To You.
Bw. Mwaja akakata keki yake akisaidiwa na watoto wake na mke wake kipenzi, Tamara. Wakiwamo dada zake, wajomba, mashangazi, binamu na marafiki zake wa mtaani kwake: The 15 Family, siku hiyo wakiongozwa na Papaa Mbwana, Makamu Mwenyekiti wa kikundi hicho.
Utamu ukanogeshwa na kinywaji kile mtu anapenda na msosi wa hatari. Katikati, Mdau nikawapa raha nikisaidiana na Dj wangu ajuaye kazi yake vyema, DJ Smol. Hapo ilikua ni bak to bak, ndombolo na ngwasuma, taarab na mduara, bongo flava na zile zetu za Zungukaaa zungukaaa! Utapendaaaa... Crew ya wapiga picha ikaongozwa na Muzee ya GX; Mgaza Kossey!! Chezeiyaaaa..
Songa nasi apa
|
Mr Paschal Mwaja akilishwa Keki na mkewe Bi Tamara; katika siku yake ya kuzaliwa |
|
wadau |
|
The dadaz |
|
Dr Mgosha (kulia) na wadau |
|
Kijana Danda (katikati) akiwa na Mdogo wake Mwaja |
|
Kisimpo zaidi |
|
Mwenyekiti akikaribisha wageni |
|
Mama Mc (kushoto) akiserebuka na wadau |
|
Full kujiachia |
|
Bw Paschal Mwaja akimtambulisha mkewe kipenzi; Bi Tamara |
|
The 15 Family wakitambulishwa |
|
Mgaza, (kushoto) na Deo apo kati wakijiachia |
|
Ze Kwaito |
|
Ze Totoz; Khayla na mdogo wake |
|
Pendo...a.k.a Mama Deo akisalimia |
|
Deo na Ze champein |
|
Apo Je? |
|
Mjomba (kulia) |
|
Mrs Senya na kiremba chake... |
|
Muzee ya GX Mia!! |
|
Hamiduuuuu |
|
Mama Nyambere! |
|
Nyambere na Papa Mbwana |
|
Kunywa Toto Njuli eeeeh |
|
Apo Jee? |
|
Mambo ya Msingi |
|
The Simbaz |
|
Beatrice, Mama Junior na Muzee Nyamberee wa Kujirusha |
|
Pendo na Beatrice |
|
Saburi...mamaa Mc |
|
Kitu cha familia na Mzee Kossey |
|
Goden Machilika na wadau wa !5 Family |
|
Haya na tuikateee kekiii |
|
Dadiiii.....tamu eeee |
|
Hongera Best!! |
|
Asante babiiii |
|
Waache wenyewe wajichumu eeee, mie nakula keki ya dadiiii |
|
Mzee Kossey |
|
Hongera Kipenzi; Kumbe na wewe ni leo!! |
|
Ngoja na sie tusongeshe tu, mule mule!! |
|
Na mwakani basi unikumbuke tena kwa birthday yetu!! |
|
Hongera kaka |
|
Shemejiiiiii |
|
Dada |
|
Mdogo wake |
|
Wakilisha 15 Family |
|
Hongera Mwenyekiti! |
|
Wakadandia kimtindo; 3 years kwa ndoa!! |
|
Na mie Je? |
|
Na usingenipata kipande ya keki; kungekua hapatoshi apa!! Hongera kaka! |
|
Ze Mgolole |
|
Huyu ndo mume wangu eee!! |
3 comments:
ma bubaa wapi?sijakuona
Kweliii jamani wapi mamkubwaaa?...
Hongera sana Mungu akuzishie miaka mingi yenye afya,furaha na amani teleee....
Ahsante sana Mc Ndimbo.... kazi nzuri! keep it up!!! Hongera kaka Paschal,,, miaka 50 si kitu kidogo! Mungu akujaalie ufikishe 100+ ukiwa na afya njema, kipato na roho safi kama ulivyo sasa, Happy Birthday Paschal Mwaja!!!!
Post a Comment