Sunday, March 22, 2015

CITY READING CHAMPIONS ARUSHA BUSINESS SUMMIT

City Reading Champions chini ya mwavuli wa Change Mind, Change Lives wanakuletea Leadership Summit ya haja katika kampeni maalumu ya kuleta mabadiliko ya nchi hii katika nyanja mbalimbali; hii ikijikita katika BUSINESS. Wakati ile summit ya Dar es Salaam ikiwa inapikwa, hii episode ya 8 inaangukia Arusha katika Hotel ya Corridor Springs tarehe 28.03.2015 kuanzia saa 7.00 mchana mpaka saa 12.00 jioni.

Hakuna kiingilio..it is FREE ENTRANCE!!

Utapata ujuzi katika maeneo yafuatayo;

1. What it takes to start a business
2. Impacts of loans in business
3. Common Mistakes in Business
4. A new paradigm in Business

Itakua na wazungumzaji wabobevu. Maujuzi hayo yataambatana na yestimonies kutoka kwa succesful young businessmen and women.

Sio ya kukosa hii arifuu

No comments: