Friday, October 12, 2012

This is it! Catherine Hiza kwa Send off!...Here...

"Ongai Mshi!" ndio salam ya wadau wa haja kutoka kuleeee Tanga kunani. Hapo ilikua wenyeji watupu kutoka Koogwe! Hapa kutoka Magoma na wakutoka Bungu. Shangwe zikanoooga na wasambaa hao wasipopewa ladha ya matarumbeta japo kidogo basi watasambaaa. Heheheiyaaa...Bi Catherine Mathias Hiza Fungo akaagwa rasmi pale Safari Resort, Kimara-D'salaam. Burudani ndo jadi na ikawa kama waswahili wasmavyo..Upele umemkuta mkunaji...wataka shuuuli weye? twende Tangaa...Ni vigelegele na shangwe tu. Tikacheza Bwan Shee, Tikanywa Bwan Shee..Tikachezaaaa mpaka tikachoka. Wow! That was a thing. Few but happy people.
Kwa uchache...songa nasi

Colour: purple

Bi Catherine, on the left, akiwa na rafiki yake Mrs Stella Nkumbo
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe, Bw Mikoli akiwakaribisha rasmi wageni
Add caption
Mwenyekiti akitambulisha wanakamati1 comment:

Anonymous said...

Hello, very professional high level blog! thank you for sharing. Because of good writing, and I learned a lot, and I am glad to see such a beautiful thing. Sorry for my bad English. ?