Monday, October 29, 2012

WAMETOKAAAJE!! GOODLUCK MSOFFE WEDS ANNA MRUTU...


Furaha ya maisha kwa utaaamu ni kiapo cha ndoa. Palee kwa Altare..Mambo ya YES I DO! Mtanashati wa ukweli Bw Goodluck Msoffe akazungumza kwa umakini na furaha kubwa sana maneno hayo mbele ya kadamnasi na masikio yenye utulivu ya Bi Anna Mrutu yakasawajika kabisaa. Hapo ilikua ndani ya kanisa la RC la Roho Mtakatifu pale Tabata na baadaye kujikakamua ndani ya ukumbi maarufu pale Tabata, NEXT DOOR. Kiyoyozi cha haja kikipuliza kwa utuliiiivu na kuigeuzia mandhari nzuri ya ukumbi huo ikafanana na ufukwe wa bahari nyakati za jioni hivi. Wapare kutoka pande zote mbili wenye asili inayofanana wakajiachia kwa furaha. Ni mambo ya "ambiereee...mcheku eeeeh..."

Dj Ommy akiwa na kumbikumbu za kwao Upareni apo, akagawa utamu wa kutosha wa burudani. McNdimbo, siku hiyo akiwa katokea katika Graduation yake ya Masters katika Linguistics pale Mlimani City na kupitilizia apo ukumbini, alikua na kila sababu ya kufanya kazi vizuri. That was so beautiful. Tiririka nasi hapa japo kwa chaaati.

Colours; Dark Blue na Silver

Bw Goodluck Msoffe na mkewe Bi Anna wakiwa na wasimamizi wao Bw Richard na Mkewe Bi IreneWazazi wakiburudika mara baada ya kuingia ukumbini


Ze totoz

Maids wajikwaitisha apo

Wasimamizi wakiingia

Mdau akiwakaribisha maharusi

Ni Rrrrhaaaaa

Wow

Sista Anna akikabidhi shughuli mikononi kwa Bwana

Wadau

Ze Kamati

Lovely

Champaigne


My Beautiful!

Na sisi apa je!

Keki tym

Kwa wazaziWe are the world!

The Queen

Na  My Bestito


Mshikemshike

Sisi ndo sisiiii

Bye byeeeee!!
No comments: