Thursday, December 6, 2012

Nankana Kimfwa is Sent Off @ Ukonga Airwing Barracks...

Ilikua ni burudaaaani, pale mtoto wa Kihaya Bi Nankana Kimfwa alipokua akiagwa na wanafamilia na marafiki pale katika ukumbi wa Ukonga Airwing Barracks. Wasukuma wale, wakwe, waliingia na Mshenga aliyekonga nyoyo za wazazi na wageni, kwa kuongea Kihaya vizuri na hatimaye kumaliza kila walichotarajiwa kufanya kimila na kukabidhiwa mwali wao. Ingawa shughuli ilianza very late, uzoefu wa mwendeshaji wa shughuli hiyo (the blogger), ulijidhihirisha na hatimaye ilipotimu saa 6.09 usiku, Mtarajiwa akawa anaaga rasmi ukumbini. Hapo kila mtu akiwa ameburudika pasipo shaka kwa kuweza kutabasamu na kuchangamsha mwili vilivyo kwa muziki saaafi.

Fuatana nasi kwa picha..

Colours: tangerine na. BlakNo comments: