Thursday, July 4, 2013

Sandra on her Sweet Sixteen! Congratz!!

Akisindikizwa na marafiki zake wa ukweli kutoka Alpha High School, Sandra Mwasekaga aliingia na tabasamu mwanana pale katika viunga vya viwanja vya nyumani kwao kwa Bw na Dr Mwasekaga UDSM. Ilikua ni shamrashamra, nderemo na vifijo pale binti huyo wa kinyakyusha alipotimiza miaka 16. Congratz Sandra.

Burudani safi na utani wa hapa na pale ukaifanya siku hiyo maalumu ikawa ya kupendeza haswaaa. Ni kula, kunywa na kucheza.

Songa nasi kwa picha hapaKKWAITOOZ
MASHOST
No comments: