Wednesday, October 10, 2012

On the Streched Golf Open Ground!! Bonny Matambula Weds Spicy! Chek hapoooo...

Kuandaa shughuli ni shughuli haswaaaa. LAkin shughuli ya Bw Boniface Matambula a.k.a Bonny na Bi Spicy Rugalela iliandaliwa kweli kweli. Full Burudani, mwanzo hadi mwisho. Baada tu ya kutoka kwa kanisa basi safari moooja kwa moja kwa ukumbi. Wajua wapi?? Paleee karibu na Msasani Beach Club, Upande wa Alli Hassan Mwinyi Nursery kuna Open Ground ya wanajeshi kwa ajili ya kucheza golf. Huwezi kuamini, hilo eneo lilibadilishwa ile mbayaaaa. Likapendeza na kupendezeka haswaaaa. Burudani zikapangika. Live Band ya Kalunde, chini ya uongozi wake Bob Budala, HB Entertainment chini ya Michael, Nshomile, Shubby na funga kazi ya Wanne Star!! Hapo nyuma ya mashine yupo Dj Gaucho akiweka vionjo vya kutosha na muziki laini uliotosha katika ukumbi huo wa wazi. Kama kawaida mdau sikuwaangusha. Ni bandika-bandua!!
Chungulia japo kiduuuuchu hapa...

Colour: Red, Yellow with some touches za gold

Decor's


Bonny na mkewe Spicy wakiwa wanaingia kwa mbwembwe

Wakiwa wanakwaitika na maids wao...hao maids walitangulia kuingia wakiwa wawili-wawili

Champaigne

Keki tym

Wanne Star!

Mambo ya PhotoshootingNa wasimamizi
Na wazazi

Na mamaz

Na babaz

Na bibiz

Na dadaz

Dadaz

Lovely

Na Groom's men

HB Entertainment wakiwa na za Chihaya

Wakwe

Wazazi

Zawadi

Nshomile na majigambo ya Chihaya


Haakneel Production wakiwa na ma-cranes kwa kazi!


Mdau na poz tofauti

Bye Bye

No comments: